Utangulizi
sungura ni mnyama jamai ya wanyama ambao wanakula majani pia sungura ni mnyama mdogo anae zalisha nyama nyingi kwa kipindi kifupi sungura ufugwa na kila lika kwani nilaisi kuweza kumfuga kwani hufugwa kwenye sehemu ndogo na hula chakula kidogo inakadiliwa sungura kwa mwaka uzaa watoto wengi na ubeba mimba kwa mwezi mmoja na hunyonyesha kwa wiki 8 katika wanyama raisi kufuga majumbani sungura pia ni mmoja ya wanyama wanaofungwa majumbani baadhi ya watu wanafuga sungura kwaajiri ya mapambo ya nyumba na wengine wanafuga kwaajiri ya kitoewo.
Kuna aina mbili za ufugaji wa sungura ambazo wafugaji wengi wanatumia njia hizo ambazo ni
1 kwenye mabanda maalumu ya sungura
hii njia inatumika Sana na watu wa nnje ya bara la Africa wanatumia eneo lenye mita3 kwa mita 10 hutosha kufuga sungura 500 Kuna faida na hasara kwenye ufugaji huu wa kwenye Banda maalumu faida yake ni raisi kuwaudumia kwa wakati hata kufanya usafi pia inakusaidia kujua idadi hata magonjwa ni raisi kuwa
changamoto zake uwe makini na muda yani lazima uweke muda kila siku kufanya Safi kuwawekea chakula maji Safi hizi
Kuwaacha huru kwenye uzio
njia hutumika Sana vijijini na mijini kwa njia hii ni raisi Sana kwani sungura anakuwa huru na hura chakula chochote anachotaka kwa namna moja au nyingine Ina mlaisisha mfugaji kupunguza garama ya chakula na kumpa huru sungura.
changamoto zake sungura uchimba ovyo na kipindi Cha mvua hupata magonjwa kwa hulaisi.
Anza kufuga
tafuta mbegu Bora za sungura ambazo wanauzo wa kuzaa na watoto wengi na wenye umri mkubwa hutoa nyama nyingi kwa muda mfupi hapa inabidi ujue makabira ya sungura na sifa zao.
Colifonia
huyu no sungura mwinyi sifa ya kuzaa watoto wengi kwa wakati mmoja anauwezo wa kuzaa watoto 1-12 pia sifa nyingine ya kuwa nauzito mkubwa kwa kipindikifupi ukimrisha vizur anaweza kufikia kilo 3 kwa muda wa miez mitatu sungura Hawa ufugwa kwenye joto na baridi
Dutch
Fremish giant
New Zealand white
Chinchilla
Chakula Bora Cha sungunga
hapa ndo kwenye umuimu kwa kutengeneza afya ya sungura ili uweze kupata matokea mazuri weka bidii kwe kumlisha sungura wako kwa wakati na kwakufata kanuni za ulishaji wa sungura chakula kikuu chao ni majani makavu na mabichi mbogamboga mizizi pamoja na nafaka sungunya kwenye uwezo wa kushika mimba anaitaji chakula chenye mchanganyimbo Bora protein vitamin madini chuma wanga maji Safi
Magonjwa na tiba za sungura
sungura anafaida nyingi Sana ambazo mfugaji ataweza kupata kwa kufuga sungura faida ya Kwanza mfugaji anapata kufaamika na jamaa kwa ufugaji wa sungura kiutalii sungura wamekuwa kitovo kidogo Cha utalii asa kwa wanafunzi wa sayansi hata shule za misingi
faida ya pili mfugaji anaweza kutengeneza kipata pindi pale atapouza sungura kwa wateja
faida ya tatu mfugaji anaweza kuvuna mkojo wa sungura na kinyesi Chao na kutengeneza bustani ndogo nyumba kwake ya mbogamboga au kuuza mkojo wa sungura kwa wakulima kwaajiri ya kuuwa wadudu shambani
faida ya nne kuweza kupata kitoewo Cha nyama
faida ya tano ngozi ya sungura unaweza kutengeneza bidhaa za urembo Kama kofia viatu nk
hitimisho
sungura ni mnyama mdogo anae zalisha nyama nyingi kwa muda mfupi pia raisi kufuga hata watoto wa Shule ya msingi wanaweza kufuga analeta kipato na chakula.
Kaya nyingi nchini zinajiusisha na ufugaji wa sungura kuku mbuzi n'gombe samaki nk.
Kati ya makundi matano ya mifugo inayo fugwa east Africa sungura ndiyo mnyama laisi kufugwa kuliko wanyama wote na wanauwezo wa kuimili magonjwa
shukurani
asate kwa kuweza kusoma makala ya ufugaji bora wa sungura ukiwa na Mimi mtafiti wa ufugaji Bora sharifu mussa Kama una kitu unataka uliza wasiliana na Mimi niweze kuku saidia e
sharifumussa73@gmail.com
WhatsApp +255627151094